Picha za warembo siku ya Valentine

...Yap! Hawa ndio warembo si unaona hata nyuso zina uhai.....Mhhhhhh kama huyo mwenye jeans black iko sawa kabisa............Lete mambo mfukunyuzi..

hawajachafuliwa na malimwengu.........
 
hao wamakonde hakuna kitu,hamna mrembo hapo.....

He! Mkuu hata siye tuna warembo siku hizi ati; zile enzi za chale zinshapita. Usitake tuanze vita ya mishale hapa.
 
walijitahidi kutafuta wenzao wa kuwapakia katika mabasi yao ya .....kule ambako watu wakienda hawarudi!
 
Hivi, ni lazima mwanamke avae nguo inaonyesha maungo yake yote? Kwani gauni/sketi/ suruali ikifika kwenye magoti watakufa?

Halafu we Mfunyukuzi si vizuri, kwa hao wasichana/wadada walivyopozi nadhani wamepozi wakimfahamu mpiga picha, yaani wewe, la sivyo umeiba mahali picha za watu.

Si vizuri.
 
uchafu mtupu,pamoja na kutangwazwa zaburi gospel search ,lakini pipa zote ovyo kabisa.
 
more pictures
 

Attachments

  • miss-vituko.JPG
    22.2 KB · Views: 776
  • val-pic.JPG
    155.1 KB · Views: 256
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…