Picha za Warembo Wetu Wa Zamani - Wako Wapi Na Wanafanya Nini?

Nice thread. . sikuwai kufurahia ushindi wa richa adhia, nasreen karim, angela damas! in particular order, walibaki wenginevilibidi nizoee tu! my bestiest from that list, Nancy sumari, jackline ntuyabaliwe, happynes magese, miriam ikoa, faraja kota. in particular order lol. .
 
Jacqueline Ntuyabaliwe yupo hapa bongo akibadilisha wanaume kila kukicha.

Nancy Sumari juzijuzi katoka kuzalishwa na mzungu. Nasikia ni mume wa mtu.
 
Jacqueline Ntuyabaliwe yupo hapa bongo akibadilisha wanaume kila kukicha.

Nancy Sumari juzijuzi katoka kuzalishwa na mzungu. Nasikia ni mume wa mtu.

Masahihisho kidogo mkuu,Nancy Sumari hajazaa na Mzungu(sio muke ya mudhungu) kazaa na Luka mmiliki wa mtandao wa Bongo5,sidhani kama ni mzungu ila ni mweupe hasaa nadhani ni mixrace,na Jackline Ntuyabaliwe kwasasa anamilikiwa na mkurugenzi mkuu wa IPP media na fununu ni kwamba kwasasa ni mjamzito!!
Nawakilisha
 
Thatha ho mmili wa ipp amemwacha Ritha
 

vipi kuhusu Aina Maeda...Saida Kessy....Shose Sinare.....Hoyce Temu....Sylvia Bahame
 

haswaaaaa ukweli mtupu
 
Wema sepetu ni kahaba maarufu hapo dar..anatafunwa na watu mbali mbali!
 
duh, huyu babu amecharuka kuzikamatia mbunye? yaani totoz wote wazuri unasikia mzee kapita
 
Wekeni picha na maandishi/maelezo kuwa ni nani aliomo/waliomo kwenye hio picha
 

Yes and No!
Yes kwa sababu ni imani ya wazazi na yeye ni mtoto wao. Kila anachofanya kina direct implication kwa wazazi.

NO: hadi amekuwa Miss Kinondoni walikuwa wapi?
na kama naona vizuri, bibie ana tatoo!
Kwa maana hiyo wazazi walishtuka usingizini baada ya kushinda u miss Kinondoni.
 
Wako Wapi Hawa na wanafanya Nini?

1960: Carmen Lesley Woodcock
1995: Emily Adolph
1996: Shose Sinare
1997: Saida Kessy
1998: Basila Mwanukuzi
2002: Angela Damas
2005: Nancy Abraham Sumari
2006: Wema Isaac Sepetu
2007: Richa Maria Adhia
mwaka View attachment 1715502003 alikuwa hhuyu mwanamke huyu nilimpenda na nitampenda dauma, mumewe anisamehe, kwani, huyu sijapata mfano wake.

kitabioa, anavuta sigara, pombe kidogooo, lakini she is marvelous
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…