Picha za Warembo Wetu Wa Zamani - Wako Wapi Na Wanafanya Nini?


nasuuzika sana na sylvia bahame 2003
 
Zamani ilikuwa ngumu sana kula Miss, siku hizi rahisi kama unasukuma mlevi. Hata Charles Baba naye kala miss wa 200., tehe tehe namba baada ya tano.
 
hey da dude.....list ya waliowahi kuwa ma miss tz.....Miriam hajawahi kuwa miss tz....
Ndo maana huwa mnafeli mitihani, wapi wameandika mamiss, Kichwa cha habari kinasemaje? Picha za warembo wetu wa zamani, pigia mstari warembo, hakuna mahali wameandika mamiss... Kuwa makini!
 
next tyme chamba kwanza ndio ukurupuke...
maana umetoka na nnya

Wewe bwe.ge mtozeni ndo umekurupuka, kichwa cha habari kinasema picha za warembo, kwahiyo mrembo ni lazima awe miss? Sod, unatoa hadi povu kwa kupost ujinga hapa. Usirudie siku ingine boya ww
 
Wema sepetu mara ya mwisho nimekutana naye pakistan nadhani yuko kule kama mwambata kwenye ubalozi wetu
 
nargis mohamed na mercy ghalabawa walibichanganya sana akili kwenye utoto-ujana wangu japo siwajauwi wala sijawahi kuwaona mpaka leo
 
Mnanikosha sana nyie watu, yaani kila miss mkimtaja mimi naingia Gugo natazama picha zake kisha narudi kwenye uzi kuendelea na mwingine.
 
Mmetishaaaa kiujumlaaa mmeniachaa saana maana hii mambo iko mbali na mm sasa
Acha move iendeleee
 
Hivi ni nani huyo mwenye bahat hivo jamani loooh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…