Picha za Warembo Wetu Wa Zamani - Wako Wapi Na Wanafanya Nini?

Picha za Warembo Wetu Wa Zamani - Wako Wapi Na Wanafanya Nini?

Mkuu; Assets za watu hizo . . . shauri yako. Naona usafiri si mbaya sana. Mzee mzima alilamba bingo!

Mazee mimi niliona kitu ingine usafiri si tija sana! Ukimpiga jeans unasawazisha...mimi ni kule kwingine!
 
Mazee mimi niliona kitu ingine usafiri si tija sana! Ukimpiga jeans unasawazisha...mimi ni kule kwingine!

Masa; mimi naomba nijitoe sasa, huko mimi siko. Kibopa wa Ikulu akisikia ulishachafua mazingira ya huko unakokuita "Kule Kwingine" inaweza ikatolewa Press Release ya kukumaliza ki-JF!

LOL
 
Mazee mimi niliona kitu ingine usafiri si tija sana! Ukimpiga jeans unasawazisha...mimi ni kule kwingine!

hahahah shem usionea vinaelea hivyo vinawenyewe shauri yako....usianze kunipigia collect call ukiwa behind bars....
 
hahahah shem usionea vinaelea hivyo vinawenyewe shauri yako....usianze kunipigia collect call ukiwa behind bars....

Teh teh teh unajua tena shem wako huwa hayuko seriaz kama Dilunga!
 
Teh teh teh unajua tena shem wako huwa hayuko seriaz kama Dilunga!


hhahahahah.....shemu shauri yako...wewe nenda kachukue wako kutoka bugando huko na wewe umuweke soap soap.....ataonekana kama hawa ma-super model......
 
I think the only miss Tanzania anayefanya vizuri so far ni Millen Magessa.....sasa hivi i hear yupo New york amekuwa signed na this one modeling agency.....Bravo Millen keep your head up and your shoulder high.......ndiyo maana yake
 
Sylivia Bahame nimemuona leo pale Steers ana mimba kubwa tu na kanenepa kinoma I hope atakuwa ameolewa.

Mkuu; hiyo ni habari njema sana. Tunamsubiri huyo Mpwa Wetu.

tanzania1.jpg


Due to the nature of her father�s job, he is a Pathologist, Sylivia has attended a variety of schools in different countries, but always she went back to Tanzania for her holidays. Between 1999 and 2002, she took a gap year and volunteered at the Dar es Salaam independent School as an Assistant Teacher, she is now studying at the University of Dar es Salaam in the faculty of law, it is her future ambition to become an International Lawyer.

Her other interests include cooking, reading, stamp collecting, singing, volleyball swimming, roller blading,, R �n� B, pop, Zouk, and Rhumba dancing.

Languages: Swahili, English and a little French
 
sio liyumba huyo? huyu demu alipata sugar daddy moja la kizambia wakafunga nae ndoa.....ndio huyo.....nasikia ndoa imeota pembe.....siku hizi wanasaka wazungu


Mdau ndoa ya Hoyce temu na sugar daddy lake la kizambia haijaota pembe, kwa habari za hivi karibuni ni kuwa babu huyo kasahau kabisa familia yake iliyoko zambia na hivi sasa kawekeza kwa binti mpaka kampa u director wa kampuni moja kubwa ya insurance anayoimoliki babu huyo yenye makao yake makuu pale Mafuta house!!
 
mdadabc.jpg


Pichani ni Nadya Mohamed,Miss Kinondoni mwaka 2006.Pamoja na kushinda taji la mwaka huo la kitongoji cha Kinondoni,Nadya hakuweza kushiriki mashindano ya Miss Tanzania mwaka huo kutokana na kuzuiliwa na wazazi wake kufanya hivyo kutokana na sababu za kidini.Je unadhani huo ulikuwa uamuzi sahihi kutoka kwa wazazi?
 
normal_htk.jpg


..Hoyce temu na JacQ Ntubayar..watamu lakini siku hizi naona age ina catch up!
 
Wema%20Sepetu.jpg


..Mrembo Wema sepetu bado yuko Dar ila nasikia anakuja States soon!
 
Back
Top Bottom