Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Mpenzi anaoga kinguonguoAcha apate raha ya kuoga kwa pamoja na mpenzi wake bafuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpenzi anaoga kinguonguoAcha apate raha ya kuoga kwa pamoja na mpenzi wake bafuni
Mie tayari ni staa BAK kwenye familia yanguWeye hutaki kuwa staa Sakayo?
Really?? Nasikia wema kafukuwzwa nyumba aliyokuwa anakaa,alikuwa anafuga mishoga zaidi ya kumi story hii iko instagram huko. Kama unapitaga huko utaikuta hiyo storyHahaaaaaaa sijajisikia hii Wema Mh
Na ni anaelekea utu uzima. Pengine atakuwa star mpaka uzeenimpuuzi sana ummri haurudi nyuma atajajutia sana
Hao ndo watanzania. Wanasombwa na matukio. Simply mtu amejifanyia promotion kwenye media watu nao wanalazimika kuabudu anayosema.Dah....hapo ndipo huwa Napata utata sana kwenye kuelewa....Sijui akili yangu ni nzito....🙁🙁🙁🙄
Ndo mi huwa najiuliza na kusema kuna wanaume wengine wanapaswa kupimwa mkojo! Why Wema? Kama ni uzuri mbona wapo warembo wengi ambao hata Wema hafikii nusu yao. Na bado wanaweza kupatikana kwa gharama ndogo na siyo hizo wanakwenda kumrundikia Wema! Wanaume hapa tukubali tuna matatizo.Vijana bwana wakipata hela tu cha kwanza wanamkumbuka wema zikiisha anawabwaga
wahenga wanasema ana mganga mzuri yani kijana akitusua kwanza anaanza kwa wema ha ha ha haNdo mi huwa najiuliza na kusema kuna wanaume wengine wanapaswa kupimwa mkojo! Why Wema? Kama ni uzuri mbona wapo warembo wengi ambao hata Wema hafikii nusu yao. Na bado wanaweza kupatikana kwa gharama ndogo na siyo hizo wanakwenda kumrundikia Wema! Wanaume hapa tukubali tuna matatizo.
Tunaambiwa siyo kila homa ni malaria.Zama zimebadilika Sana
Na kweli huenda hizi nguvu zipo. Ila mi nimegundua tatizo la wantanzania wanaamini media kama mistari ya biblia au kuruani. Wema ni promotion anayojifanyia na watu wanaamini yuko tofauti na wanawake wengine. Ndo maana nasema watanzania bado tuna ushamba wa kuamini media ma hawa watu ndo wanazitumia kunadilisha fikta za watu wasiojitambua.wahenga wanasema ana mganga mzuri yani kijana akitusua kwanza anaanza kwa wema ha ha ha ha
Wema NomaKama kawaida take mpenda ngozi
Comedy yenyewe hapati hata promo.Idriss alipigwa hela yote ya big brother ha ha ha ha saizi kawa the comedy
Ili apotee ktk maisikio ya watu ataishi vipi? Hujui hii ni sehemu ya kazi?Sio kwamba zimevuja hizi kavujisha tena ni kusudi.
Ila huyu bibi atajifunza lini kuweka mambo yake nje ya mitandao
Maisha ya mtu jamani...wengine wivu tu unawasumbua. Wanakula zao raha zinawakera lol.ana matatizo ya kisaikolojia na bange pia zinamsumbua