Picha za Wema akiwa na bwana ake zavuja

Wema Sepetu hajawahi kuvujisha picha zake...

Tabia ya Wema Sepetu anazirusha mwenyewe makusudi, kupitia watu wake wa karibu ili aendelee kuongelewa...


Cc: mahondaw
 
Nani anapiga picha bafuni? Mbona picha wakati anakata gogo hazijavuja? Kiki tu.
 
Dah....hapo ndipo huwa Napata utata sana kwenye kuelewa....Sijui akili yangu ni nzito....🙁🙁🙁🙄
Hao ndo watanzania. Wanasombwa na matukio. Simply mtu amejifanyia promotion kwenye media watu nao wanalazimika kuabudu anayosema.
 
Vijana bwana wakipata hela tu cha kwanza wanamkumbuka wema zikiisha anawabwaga
Ndo mi huwa najiuliza na kusema kuna wanaume wengine wanapaswa kupimwa mkojo! Why Wema? Kama ni uzuri mbona wapo warembo wengi ambao hata Wema hafikii nusu yao. Na bado wanaweza kupatikana kwa gharama ndogo na siyo hizo wanakwenda kumrundikia Wema! Wanaume hapa tukubali tuna matatizo.
 
wahenga wanasema ana mganga mzuri yani kijana akitusua kwanza anaanza kwa wema ha ha ha ha
 
wahenga wanasema ana mganga mzuri yani kijana akitusua kwanza anaanza kwa wema ha ha ha ha
Na kweli huenda hizi nguvu zipo. Ila mi nimegundua tatizo la wantanzania wanaamini media kama mistari ya biblia au kuruani. Wema ni promotion anayojifanyia na watu wanaamini yuko tofauti na wanawake wengine. Ndo maana nasema watanzania bado tuna ushamba wa kuamini media ma hawa watu ndo wanazitumia kunadilisha fikta za watu wasiojitambua.
 
HIVI HUYU WEMA SI WANAMUITAGA BIBI?AFU PAPUCHI YAKE NI SUGU ASEE INASUGULIWA NA KILA JIWE ILA HAING'AI....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…