Picha za Wema akiwa na bwana ake zavuja

Uyu mdada jamani. Hapo inaonesha kabisa picha kapiga yeye mwenyewe.

Halafu mbona bwana yeye hajavua nguo
 
yentee... huyu dada bado kutoka na mimi tu naona tz nzma ataimaliza
 
Wema bwana, yaani karudi tena na kick za kijinga. Huyu demu nahisi anahitaji maombi ya haraka, yaani hachoki kutafuta wanaume tata na kuwabandika mtandaoni ili watu wawaseme na yeye (Wema) apate kuzungumzwa kuwa anatombwa bafuni kwa kufichwa kama kale kademu (Hamisa).
 
Kama huyo jamaa yake anauza madawa ya kulevya, namuonea huruma huyo wakili anayemtetea kwani anampa wakati mgumu sababu ya upumbavu wake.
 
Huwa mnamkuza eti mrembo wa mvuto wa pekee!!
Kuna vifaa Tz hii wema haoni ndani
Sema jina la umaarufu tu.
 
Hii midomo yake haina fungus kweli?Ameliwa dende na wangapi maana kila picha ikivuja ni denda.
 
Huyo ndio wema bwana kazi wanayo wenye team zao hapo ni kumtetea tu kwa ujinga wake
 
Kwani kuna tatizo au mbona kawaida kwani wema mke wa mtu hadi iwe story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…