Picha zaidi zinazodhaniwa kuwa za Mhalifu wa Selander

Ila huyu jamaa kafa kiume sana mimi namuombea tu kutaniko jema na muumba wake.
 
Najiuliza maswali menginkama alikuwa kada mzuri ni kinyongo gani alikuwa na polisi ....location location bado inaniwazisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…