nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,902
- 2,488
Kwa utashi wangu naona alikuwa na mastress yake kama yule jamaa aliyeua mtu sinza kwa risasi kisha akajifyatulia mwenyeweNajiuliza maswali menginkama alikuwa kada mzuri ni kinyongo gani alikuwa na polisi ....location location bado inaniwazisha sana
Location ndio kabisa isikushtue inasemekana kwao ni upanga maana yake hapo ubalozini sio mbali sana na kwao
Sio kwamba alifunga safari toka bunju ama wapi kufanya tukio hapo