Kwa utashi wangu naona alikuwa na mastress yake kama yule jamaa aliyeua mtu sinza kwa risasi kisha akajifyatulia mwenyewe
Location ndio kabisa isikushtue inasemekana kwao ni upanga maana yake hapo ubalozini sio mbali sana na kwao
Sio kwamba alifunga safari toka bunju ama wapi kufanya tukio hapo