Picha : Zamaradi akila Bata USA

Samahani wadau naombeni maana ya "kula bata" maàna mimi kwenye picha namuona huyo mdada kapiga picha mbele ya jengo..

Kwahio mtu akipiga picha mbele ya mlimani city ndio yuko anakula bata..
Au ukienda abroad ndio kula bata??
 
Waswahili bana...mtu kusafiri kwenda USA kwake anakula bata???..... kweli Mwl Nyerere alitufungia tz tumechelewa mno kupata exposure na umasikini ulitujaa mpaka kwenye kope
Tunabadilishana.

Wazungu wao wakija huku wanapiga picha wakiwa porini, sisi tukienda kule Magorofa yao ndio yanakoma.
 
Yaani yule waziri sijui naibu waziri wa kula Bata nilimshangaa sana baada ya kuona ile clip.

Et ukipata 60,000/= Chukua 40,000/= kula bata.

Acha kumsingizia waziri. Kasema chukua 40,000/= fanya maendeleo weka 20,000/= za kwenda kula maisha. Mapumziko ni lazima ila sisi kwa umaskini wetu tunaona ni anasa. Hata tulioajariwa tukilipwa fedha za likizo na waajiri wetu tunaenda kununulia simenti. Miaka 15 mtu unajenga tu nyumba moja. Nyumba ikija kwisha mauti yamekaribia mlangoni. Mkoa wa jirani hujawahi kufika, Marekani hujawahi kwenda, mahoteli na mbuga unaviona kwenye mabango........ Kila mtu ana jinsi anayoipendelea ya kula bata, na kula bata ni gharama. Iweke kwenye mipango yako ya fedha. Maisha yenyewe niyo haya haya. Kula bata ni muhimu ilimradi kanuni ya kiasi izingatiwe. Asante waziri kwa kutukumbusha umuhimu wa bata.
 
Hii nayo ni habari? USA kwani ni nje ya ulimwengu huu? Marekani kwa kawaida sana mbona.. hivi kuna watu bado wanaishobokea USA kihivi dah labda uwe hujawahi kusafiri nje ya bongo. Eti anakula bata hahahhh dunia Hii buaaana

Hii inaweza isiwe ni habari au ikawa ni habari. Inategemea mtu na ulimwengu wake. USA si nje ya dunia japo inaweza kuwa nje ya ulimwengu wa watu fulani. Ukerewe pia si nje ya dunia kama ambavyo Ngorongoro na Cyprus, Korea na Moshkwetu si nje ya dunia. Kwenda kokote hapa duniani kuhudhuria msiba au semina au biashara ni tofauti na kwenda kwa ajili ya kuchangamsha macho - kupumzisha akili na nini. Sasa kama mimi katika ulimwengu wangu natamani na ni ndoto yangu kwenda tu "Soko la Samaki" pale Msasani lakini kibubu hakijai kwa nini nisimsifie mwenzangu aliyepanda dege mpaka Amerikani? Ukiona unashangaa ujue uko ulimwengu mwingine.
 
Samahani wadau naombeni maana ya "kula bata" maàna mimi kwenye picha namuona huyo mdada kapiga picha mbele ya jengo..

Kwahio mtu akipiga picha mbele ya mlimani city ndio yuko anakula bata..
Au ukienda abroad ndio kula bata??

Jamani nyie mbona wagumu kuelewa? , hiyo picha nimeweka tu , zamaradi yupo USA akisherekea birthday yake , yupo vacation , ebu msijifanye vichwa ngumu kwa kila kitu
 
we una hangout na wanaume wa aina gani?

Una bahati, nilikuandalia tusi zito mbwa wewe mwanahizaya mfimanyogo mwenye makalio ya mwananyoni mwana izaya wewe kupenda kudandia treni zisizokuhusu mxiew na una bahati Leo Niko vzur sijalewa
 
Una bahati, nilikuandalia tusi zito mbwa wewe mwanahizaya mfimanyogo mwenye makalio ya mwananyoni mwana izaya wewe kupenda kudandia treni zisizokuhusu mxiew na una bahati Leo Niko vzur sijalewa
[emoji23][emoji23][emoji23] Binamu nini tena??
 
Samahani kama nitakuwa nje ya ' Mada ' hivi unaweza ukawa ' Muuza Unga / Dawa za Kulevya ' halafu sehemu ya ' Mapato ' yako yatokanayo na Faida ukayatumia katika kusaidia Watoto Yatima na wale Wasiojiweza?
 
Jamani nyie mbona wagumu kuelewa? , hiyo picha nimeweka tu , zamaradi yupo USA akisherekea birthday yake , yupo vacation , ebu msijifanye vichwa ngumu kwa kila kitu
hah[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka binamu
 
Jamani nyie mbona wagumu kuelewa? , hiyo picha nimeweka tu , zamaradi yupo USA akisherekea birthday yake , yupo vacation , ebu msijifanye vichwa ngumu kwa kila kitu
Si angeenda hapo Serengeti/Mikumi kutangaza mbuga zetu
 
huyu mumewe mvaa sendoz ndio unamuona anampa hela?,kwa biashara gani?,hiyo ya mission town kwa usawa huu wa magu?,ndio unasema hatembei na wanaume wasio wa maana,huenda naye yuko kwenye biashara ya ganda
 
Nyie mbwa mnaouliza anakula bata gani nenden kwenye ukurasa wake mkaone mxieww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…