Binamu, kwa kawaida sisi vyeusi mangala tupo smart. Pia usisahau,the darker the berry, the sweeter the juice.. Me wachache sana wanalielewa hiliKabisa , zamaradi anajielewa , hata akiongea tu unajua hapa kuna mtu , sio shoga yetu Irene akianza kuongea, hadi utatamani kutapika
Wasichana waache kuwekeza kwenye muonekano wa nje tu , Bali akili pia wawekeze, hakuna mwanaume wa maana atapenda kujihusisha na mapoyoyo , ona akina ntuyabaliwe au jokate
Kusimama nje hapo ndio anakula bata.
Tanga line hiyo! Umesahau?Zama anajua kula na kipofu na anajua kujinyenyekeza sana
Sikaolewa huyu inamaana jamaa anaruhusu ukaribu huo?
Yaani yule waziri sijui naibu waziri wa kula Bata nilimshangaa sana baada ya kuona ile clip.
Et ukipata 60,000/= Chukua 40,000/= kula bata.
Hiyo pica ya huyu kiumbe mbona mie siioni? Imefichwa wapi?
Cheusi Mangala!!...uko poa?Binamu, kwa kawaida sisi vyeusi mangala tupo smart. Pia usisahau,the darker the berry, the sweeter the juice.. Me wachache sana wanalielewa hili
Hahaaa.. nipo poa, thanksCheusi Mangala!!...uko poa?
MO si ameshapatikana au?Miss you more