Picha : Zamaradi akila Bata USA

Picha : Zamaradi akila Bata USA

Kabisa , zamaradi anajielewa , hata akiongea tu unajua hapa kuna mtu , sio shoga yetu Irene akianza kuongea, hadi utatamani kutapika

Wasichana waache kuwekeza kwenye muonekano wa nje tu , Bali akili pia wawekeze, hakuna mwanaume wa maana atapenda kujihusisha na mapoyoyo , ona akina ntuyabaliwe au jokate
Binamu, kwa kawaida sisi vyeusi mangala tupo smart. Pia usisahau,the darker the berry, the sweeter the juice.. Me wachache sana wanalielewa hili
 
Yaani yule waziri sijui naibu waziri wa kula Bata nilimshangaa sana baada ya kuona ile clip.

Et ukipata 60,000/= Chukua 40,000/= kula bata.


Dah huyo waziri akigombea Urais nampa kura yangu.
 
Back
Top Bottom