Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukulazimishwa kuangalia mkuu ehhhhhh watu wengine na wivu wa kijinga !!!!!!!!!!!!mdau nakushauri uanzishe blog yako maana unatuchosha tu hapa na mapicha ambayo mengine ume-download kutoka kwa Michuzi kuja kutuchosha tu hapa
RayB Lakini unajuwa unachokisema? Sija kuacknowledge kazi za watu wala kuweka sources. Nime Copy and Paste kama Picha zinavyojieleza wenyewe umeziona vizuri mkuu Rayb? au kuna kitu nimezidisha uongo wangu?Mzizimkavu uwe unajaribu kuacknowledge kazi za watu kwa kuweka sources basi duh
..Dar es Salaam hakuna mtaa wa Suwata, huo ni mtaa wa Lindi ila kuna ofisi za Suwata kwenye mtaa huo karibu na geti la kuingilia Shule ya sekondari Benjamin Mkapa!IMitaa ya Ilala sehemu ya pili.
Leo watu wa Ilala nipo mitaa ya Karume
Soko letu jipya la Machinga ndo kama hili
Hapa nawaonesha uwanmja wa Karume na mbaali Mwalimu House
Mitaa ya kati hapa kama unatokea TRA hapa Shaurimoyo.
Waliosoma hapa Alharamain wataikumbuka hili jengo.
Mambo flani ya maji ya Ilala hapa Mchikichini kiwanda cha TBL
Mtaa wa Suwata huo hadi Karikoo
Hapa kati ni Shule ya Uhuru Mchanganyiko na nyuma ni magorofa ya NHC TBL.
Nafikiri waliotoka mitaa hiyo wameona kidogo maendeleo na mandhari ya mji wao.