Picha zangu za leo ni hizi hebu toeni maelezo yenu Mtaa kwa mitaa

Hakuna cha maandalizi ya vita, hiyo ni ubovu wa barabara inaonyesha serikali ilivyoshindwa kuwajibika kwa wananchi wake!
 
mdau nakushauri uanzishe blog yako maana unatuchosha tu hapa na mapicha ambayo mengine ume-download kutoka kwa Michuzi kuja kutuchosha tu hapa
Hukulazimishwa kuangalia mkuu ehhhhhh watu wengine na wivu wa kijinga !!!!!!!!!!!!
 
Mzizimkavu uwe unajaribu kuacknowledge kazi za watu kwa kuweka sources basi duh
RayB Lakini unajuwa unachokisema? Sija kuacknowledge kazi za watu wala kuweka sources. Nime Copy and Paste kama Picha zinavyojieleza wenyewe umeziona vizuri mkuu Rayb? au kuna kitu nimezidisha uongo wangu?
 
..Dar es Salaam hakuna mtaa wa Suwata, huo ni mtaa wa Lindi ila kuna ofisi za Suwata kwenye mtaa huo karibu na geti la kuingilia Shule ya sekondari Benjamin Mkapa!
 
Hiyo ni kitomoto haswaaaaaa!! tena iko pale karibu na ofisi za serikali ya mataa kwa mama modester mtu wangu, huwa napitia siku flaniflani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…