Picha: Zari aanika mimba yake hadharani

Sintah ana mtoto mzuri sana, si unamuona mama yake alivyo? Nasikia yupo uganda kwa baba yake, nikipata picha ntawatumia wapendwa

Poa fanya hivyo binamu.Vipi hao watoto ni jinsia gani?
 
Mama zima linafanya upuuzi kama huu pumbafuu, bora ingekuwa ndo mimba yake ya kwanza sasa tumbo limetepeta kaa uji wa ulezi kwenye mfuko wa rambo.!
 
Jaamni si atulie tu mbn mashabiki wanampelekesha ivyo...hawajui watanzania huyu awaendekeze mwisho watataka na video anayojifungua

hahahhHhahahahahahahaha umeuaaa dah
 
zari ni mzuri jamani mtaugua sana na dawa hakuna.Mwacheni afanye yake mara hana mimba....ss kawajutisha!
 
Jigga & Beyonce
Kanye & Kim
Wanatuharibia sana vijana wetu maana maisha ni full maigizo na kila wafanyalo lazima walipeleke kwenye social networks duh ipo siku wataanika chupi na boxer za wazazi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…