Picha: Zari aanika mimba yake hadharani

Picha: Zari aanika mimba yake hadharani

Mama zima linafanya upuuzi kama huu pumbafuu, bora ingekuwa ndo mimba yake ya kwanza sasa tumbo limetepeta kaa uji wa ulezi kwenye mfuko wa rambo.!

Licha ya upuuzi wa Zari kurusha picha za mimba hadharani, ila wewe Ndio mjinga anaetaka urembo kwenye uzazi.

Nina uhakika huna mtoto na hujawai kuzaa ndio maana unapost Ujinga kama huu.!!
 
Haya, tumeiona, Mungu amjalie heri ajifungue mtoto mzuri kama yeye, asijefanana na babie.
 
Back
Top Bottom