Picha: Zari, Diamond wakiwa UK


Kumbe na Uingereza napo huwa kuna uchafu uchafu chini kama huku Kwetu Kinondoni kwa Manyanya? Basi nimeghairi siendi tena huko Ulaya nabaki zangu hapa hapa tu.
 
Wewe umefika london kuanzia mwezi wa nane mpaka mida ii??/

Hebu nikumbushe kidogo Mkuu mkiwa mnatoka pale Heathrow Airport mkono wako wa Kulia kuna Kivutio gani tena vile kizuri sana. Nasubiri jibu langu mwana London BIGstallion na najua hutoniangusha Mimi niliyebobea na London yangu hii ya Usingidani / Singida.
 
Mi sikupitia Heathrow nilipitia Manchester labda uniulize swali lingine, ?
 
warumi mpeleke Dk. Shika akakutane na huyo mchepuko wa zamani wa Diamond.. ambaye anaona hata 900m itapendeza tu maana 5m kwa mwezi itakuwa tone moja la mvua kwake kila mwezi.
 
Mbona hali ya hewa ya London ni afadhali sana, haina tofauti na Makete au Mafinga. Kuna majini yana hali ya hewa mbaya kama Moscow, Manchester.
Nilifika Manchester kuna sehemu inaitwa Bangol nilienda ndo unachukua treni apo,.. Sema sipend baridi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…