Picha: Zari, Diamond wakiwa UK

Team kiba bwana! Bahati mbaya huyo star wao hawajui hata demu wake [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kumbe na Uingereza napo huwa kuna uchafu uchafu chini kama huku Kwetu Kinondoni kwa Manyanya? Basi nimeghairi siendi tena huko Ulaya nabaki zangu hapa hapa tu.
Hata mie nimeshanga wamepiga picha pembeni ya mfereji wa avi? hivi kumbe ulaya wanaenda chooni?
 
Subutu kipindi kile alikua anapiga picha mlangoni anarudi kulala ashukuriwe ivan kufa[emoji23]
Haaa haaa...hata mi nilitaka shangaa

Maana sasa kila picha yuko ofisini [emoji15]
 
Sio kweli....acha zako wewe[emoji23] [emoji23]
Basi tu leo nna bando la mawazo ningeenda instagram nkuletee picha hapa, Ivan kadanja May, ningekuonesha picha zari akipost office before hiyo May, ila nnavopenda umbea ntakutafutia tu niwaite.
 
Kumbe hata Ulaya kuna anita (baisikeli kubwa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…