Picha: Zari na Esma wapatana

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Lile bifu la muda mrefu kati ya zari na wifi yake Esma limefikia tamati katika arobaini ya mtoto wa diamond aitwaye nillan ,ambapo wawili hao walionekana wakicheza kwa pamoja na kupiga picha na kufurahi.
 
ndugu wakimgombana shika jembe ukalime

wakipatana chukua kapu kavune

pole yao kina coffee table,malkia wa kuchamba waliokuwa wanamnanga ESMA kila siku aibu yao!!
 
Madale wenyewe kila siku ugomvi,umbea,kusengenyana,kulumbana,kutetana,kulogana,kutishiana,umalaya,kuzaa zaa hovyo nje ya ndoa,madawa ya kulevya,kuita wenzao nyani,kutafuta Kiki,kufuta sauti za wasanii wenzao kwenye nyimbo zao,kubebana,yule mama yao kuvaa vimini kama binti,kupata make up za bei rahisi na kuwa kama kituko

Yaani huko hakuna jema wanapata Leo wanagombana kesho eboooooo
 
Maskini Utamjua tu kwa muandiko wake.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yote haya yanafanyika Madale????
 
We mzaramo maneno meeeengi, WCB wale hata kiki zao zina maana maana wanatengeneza pesa sasa we mzaramo endelea kumsema mond mwenzako anajenga vibanda we endelea kujenga majungu...
 
keeping up with.the chibus.....
 
Maskini Utamjua tu kwa muandiko wake.
Achana nae, manake hata kama u-hater huyo jamaa kapitiliza!!! Alivyo mtu wa ajabu, anashadadi umalaya wa wenzake wakati Kiba anayempigia makofi hata anapojamba; hadi sasa ana watoto watatu na kila mtoto ana mamake na mama wote wamebwagwa! Kwahiyo leo hii akipata mtoto mwingine atakuwa na watoto wanne na kila mtoto na mamake!!
 
Kazi unayo...
 
Upogoo?
 
Umenichekesha sana
 
Kazi unayo...
We mzaramo maneno meeeengi, WCB wale hata kiki zao zina maana maana wanatengeneza pesa sasa we mzaramo endelea kumsema mond mwenzako anajenga vibanda we endelea kujenga majungu...
Mapovu kama kawaida yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…