Picha: Zari na Esma wapatana

Picha: Zari na Esma wapatana

16585550_211376116001864_8709034945651146752_n.jpg
 
Nimejaa pishi ya mchele inasubiri!! Kuna siku nimekuita weee, lakini wapi, hata kusikia ukawa husikii! Hivi nishaku-wish Happy New Year? Kama bado, Happy New Year... sijachelewa sana!!!
 
Sipati hata notification best yangu.....safi kama uko poa

Happy New Year too
 
Madale wenyewe kila siku ugomvi,umbea,kusengenyana,kulumbana,kutetana,kulogana,kutishiana,umalaya,kuzaa zaa hovyo nje ya ndoa,madawa ya kulevya,kuita wenzao nyani,kutafuta Kiki,kufuta sauti za wasanii wenzao kwenye nyimbo zao,kubebana,yule mama yao kuvaa vimini kama binti,kupata make up za bei rahisi na kuwa kama kituko

Yaani huko hakuna jema wanapata Leo wanagombana kesho eboooooo
Duh!!!
 
Achana nae, manake hata kama u-hater huyo jamaa kapitiliza!!! Alivyo mtu wa ajabu, anashadadi umalaya wa wenzake wakati Kiba anayempigia makofi hata anapojamba; hadi sasa ana watoto watatu na kila mtoto ana mamake na mama wote wamebwagwa! Kwahiyo leo hii akipata mtoto mwingine atakuwa na watoto wanne na kila mtoto na mamake!!
Ohoooo!!!
 
Sipati hata notification best yangu.....safi kama uko poa

Happy New Year too
I see... excuse yako mzuri ile mbaya!!! Manake ni sawa na kusema nina matatizo ya usikivu kwahiyo hata ukiniita siwezi kukusikia!!!!!
 
Madale wenyewe kila siku ugomvi,umbea,kusengenyana,kulumbana,kutetana,kulogana,kutishiana,umalaya,kuzaa zaa hovyo nje ya ndoa,madawa ya kulevya,kuita wenzao nyani,kutafuta Kiki,kufuta sauti za wasanii wenzao kwenye nyimbo zao,kubebana,yule mama yao kuvaa vimini kama binti,kupata make up za bei rahisi na kuwa kama kituko

Yaani huko hakuna jema wanapata Leo wanagombana kesho eboooooo
hahahaha kweli wewe mzaramo duuuuu umenikumbusha @mdengereko.
 
Madale wenyewe kila siku ugomvi,umbea,kusengenyana,kulumbana,kutetana,kulogana,kutishiana,umalaya,kuzaa zaa hovyo nje ya ndoa,madawa ya kulevya,kuita wenzao nyani,kutafuta Kiki,kufuta sauti za wasanii wenzao kwenye nyimbo zao,kubebana,yule mama yao kuvaa vimini kama binti,kupata make up za bei rahisi na kuwa kama kituko

Yaani huko hakuna jema wanapata Leo wanagombana kesho eboooooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu yote kweli sasa wenye mahaba Niue watasema ww hater
 
Madale wenyewe kila siku ugomvi,umbea,kusengenyana,kulumbana,kutetana,kulogana,kutishiana,umalaya,kuzaa zaa hovyo nje ya ndoa,madawa ya kulevya,kuita wenzao nyani,kutafuta Kiki,kufuta sauti za wasanii wenzao kwenye nyimbo zao,kubebana,yule mama yao kuvaa vimini kama binti,kupata make up za bei rahisi na kuwa kama kituko

Yaani huko hakuna jema wanapata Leo wanagombana kesho eboooooo
ulishawahi kuishi au japo kukaa kwa masaa kadhaa tu?
 
Back
Top Bottom