ngugu wakigombana chukua tecno weraa warekodi usambaze whatsapp
Nimejaa pishi ya mchele inasubiri!! Kuna siku nimekuita weee, lakini wapi, hata kusikia ukawa husikii! Hivi nishaku-wish Happy New Year? Kama bado, Happy New Year... sijachelewa sana!!!Upogoo?
Sipati hata notification best yangu.....safi kama uko poaNimejaa pishi ya mchele inasubiri!! Kuna siku nimekuita weee, lakini wapi, hata kusikia ukawa husikii! Hivi nishaku-wish Happy New Year? Kama bado, Happy New Year... sijachelewa sana!!!
Duh!!!Madale wenyewe kila siku ugomvi,umbea,kusengenyana,kulumbana,kutetana,kulogana,kutishiana,umalaya,kuzaa zaa hovyo nje ya ndoa,madawa ya kulevya,kuita wenzao nyani,kutafuta Kiki,kufuta sauti za wasanii wenzao kwenye nyimbo zao,kubebana,yule mama yao kuvaa vimini kama binti,kupata make up za bei rahisi na kuwa kama kituko
Yaani huko hakuna jema wanapata Leo wanagombana kesho eboooooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We mzaramo maneno meeeengi, WCB wale hata kiki zao zina maana maana wanatengeneza pesa sasa we mzaramo endelea kumsema mond mwenzako anajenga vibanda we endelea kujenga majungu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngugu wakigombana chukua tecno weraa warekodi usambaze whatsapp
Ohoooo!!!Achana nae, manake hata kama u-hater huyo jamaa kapitiliza!!! Alivyo mtu wa ajabu, anashadadi umalaya wa wenzake wakati Kiba anayempigia makofi hata anapojamba; hadi sasa ana watoto watatu na kila mtoto ana mamake na mama wote wamebwagwa! Kwahiyo leo hii akipata mtoto mwingine atakuwa na watoto wanne na kila mtoto na mamake!!
Wamependeza vizuri.
Tunaweza kupata japo picha ya huyo KIBABUDE tuone anafananaje au naye yuko kama vile vitoto vinavyo mrecord.Nimeiokota hukoView attachment 470280
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]ngugu wakigombana chukua tecno weraa warekodi usambaze whatsapp
I see... excuse yako mzuri ile mbaya!!! Manake ni sawa na kusema nina matatizo ya usikivu kwahiyo hata ukiniita siwezi kukusikia!!!!!Sipati hata notification best yangu.....safi kama uko poa
Happy New Year too
Tunaweza kupata japo picha ya huyo KIBABUDE tuone anafananaje au naye yuko kama vile vitoto vinavyo mrecord.
hahahaha kweli wewe mzaramo duuuuu umenikumbusha @mdengereko.Madale wenyewe kila siku ugomvi,umbea,kusengenyana,kulumbana,kutetana,kulogana,kutishiana,umalaya,kuzaa zaa hovyo nje ya ndoa,madawa ya kulevya,kuita wenzao nyani,kutafuta Kiki,kufuta sauti za wasanii wenzao kwenye nyimbo zao,kubebana,yule mama yao kuvaa vimini kama binti,kupata make up za bei rahisi na kuwa kama kituko
Yaani huko hakuna jema wanapata Leo wanagombana kesho eboooooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu yote kweli sasa wenye mahaba Niue watasema ww haterMadale wenyewe kila siku ugomvi,umbea,kusengenyana,kulumbana,kutetana,kulogana,kutishiana,umalaya,kuzaa zaa hovyo nje ya ndoa,madawa ya kulevya,kuita wenzao nyani,kutafuta Kiki,kufuta sauti za wasanii wenzao kwenye nyimbo zao,kubebana,yule mama yao kuvaa vimini kama binti,kupata make up za bei rahisi na kuwa kama kituko
Yaani huko hakuna jema wanapata Leo wanagombana kesho eboooooo
ulishawahi kuishi au japo kukaa kwa masaa kadhaa tu?Madale wenyewe kila siku ugomvi,umbea,kusengenyana,kulumbana,kutetana,kulogana,kutishiana,umalaya,kuzaa zaa hovyo nje ya ndoa,madawa ya kulevya,kuita wenzao nyani,kutafuta Kiki,kufuta sauti za wasanii wenzao kwenye nyimbo zao,kubebana,yule mama yao kuvaa vimini kama binti,kupata make up za bei rahisi na kuwa kama kituko
Yaani huko hakuna jema wanapata Leo wanagombana kesho eboooooo
Binamu wee kiboko..........ngugu wakigombana chukua tecno weraa warekodi usambaze whatsapp
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ngugu wakigombana chukua tecno weraa warekodi usambaze whatsapp