Picha: Zari the bossy lady VS Madam Ritha

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Achilia mbali umri kuwatupa mkono, achilia mbali mastaa hawa kuzaa ila bado mienokano yao inadai, namzungumzia mjasiriamali na mkurugenzi wa Bench Mark Production na founder wa BSS, Madam Ritha kutoka Tanzania na mjasiriamali na founder wa Zari all white party, Zarinah Hassan kutoka Uganda.

Wakati Zari akiwa mama wa watoto watatu, Madam Ritha yeye ana mtoto mmoja. Pia wanatajwa kuwa miongoni mwa wajasiriamali wenye akili na mafanikio zaidi. Licha ya mastaa hao wenye mafanikio na mkwanja wa kutosha kuwa na umri mkubwa na kuzaa, ila bado wanaonekana wabichi na wenye mvuto wa aina yake.

Mastaa hawa wanatajwa kuwa miongoni mwa mastaa wakubwa ambao licha ya kuzaa bado mienokano yao inadai, mastaa wengine ni jackline ntuyabaliwe aka mrs. Mengi. Unadhani kati ya mastaa hawa wawili nani ana mvuto kumzidi mwenzio? Madam Ritha au Zari the Boss lady.
 
Zari VS madam ritha
 

Attachments

  • 1430752083869.jpg
    55.4 KB · Views: 8,865
Nampenda sana madame Ritha jamani! Ni moja kati ya wanawake ambao ubunifu wao umeweza kuwasaidia vijana wengi.Japo vijana hao hushindwa kujibeba baada ya shindano lakini haliondoi uzuri wa jitihada za mwanamama huyu.
 
Wote wazuri ila madame Rita ana USO flani hivi wa kushuka amaizing.
 
warumi

Mimi ni Madame Rita aisee! Huyu dada ananivutia sana hasa macho yake. Zari anazidisha make-up.
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni Madame Rita aisee! Huyu dada ananivutia sana hasa macho yake. Zari anazidisha make-up.

Ahaha yap ritha ana mvuto wa asili na ana sura ya kitoto
 
Afu Rita ni ana confo la kutosha...nshakutana nae sehemu sehemu...yani si wale wa kuuza sura...allikuwa ana interact na watu wenye CV zao...hajirudishi nyuma...na hiyo kibongo bongo ni wachache walio kwenye fani za sanaa wanaweza....

Na ndipo nilipojua kuwa ni mzuri kuliko anavyoonekana kwenye picha...
(kuna watu picha zinawaongezea marks...huyu dada ni the opposite...uzuri wake wa live ni zaidi ya wa picha)
 
Tuletee picha zao wakiamka asubuhi kabla ya kupiga mswaki tukupe jibu sahihi!
 
Awe na nywele za aje??

Ana komwe flani hivi hujawahi kumuona akibana ki Kim kardashian au kubana kwa nyuma anakua ka ana upara flani hivi akinyoa ka madame Ritta hamkamati hata chembe bora ma weaving ndo yanamfanya aonekane vizuri.
 
Ni wazuri hao!
Hivi madame Ritha kapeleka wapi BSS?
Timeimiss sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…