warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Achilia mbali umri kuwatupa mkono, achilia mbali mastaa hawa kuzaa ila bado mienokano yao inadai, namzungumzia mjasiriamali na mkurugenzi wa Bench Mark Production na founder wa BSS, Madam Ritha kutoka Tanzania na mjasiriamali na founder wa Zari all white party, Zarinah Hassan kutoka Uganda.
Wakati Zari akiwa mama wa watoto watatu, Madam Ritha yeye ana mtoto mmoja. Pia wanatajwa kuwa miongoni mwa wajasiriamali wenye akili na mafanikio zaidi. Licha ya mastaa hao wenye mafanikio na mkwanja wa kutosha kuwa na umri mkubwa na kuzaa, ila bado wanaonekana wabichi na wenye mvuto wa aina yake.
Mastaa hawa wanatajwa kuwa miongoni mwa mastaa wakubwa ambao licha ya kuzaa bado mienokano yao inadai, mastaa wengine ni jackline ntuyabaliwe aka mrs. Mengi. Unadhani kati ya mastaa hawa wawili nani ana mvuto kumzidi mwenzio? Madam Ritha au Zari the Boss lady.