Picha: Zari the bossy lady VS Madam Ritha

mzurimie hebu tuwekee na picha za le super Madame Ritha bwana hizo za Zari zimetosha.
 
Last edited by a moderator:
Jamani siwema kanyang'anywa gari ,kumbe alirudiana na lile libabu likamtega kumchukulia hiyo gari kumbe haijalipiwaa ,,akaenda kukamatwa akalala selo instaparty ikaishia selo
 
Ana komwe flani hivi hujawahi kumuona akibana ki Kim kardashian au kubana kwa nyuma anakua ka ana upara flani hivi akinyoa ka madame Ritta hamkamati hata chembe bora ma weaving ndo yanamfanya aonekane vizuri.

Really? ???,,,,???
 

Attachments

  • 1430769210914.jpg
    24.1 KB · Views: 656
  • 1430769223077.jpg
    24.5 KB · Views: 649
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…