Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mengi anaonekana mwaminifu sana,mwanamke wake akichepuka tu anampa go ahead,safi sana huyu mzee
bado bwana,hizo ni tetesi za Yericko tuUnajua kale kasheria kamepitishwaa naogopajeeee
Haaaa iseme kwa kiswahili basi...
Unajua Z kazidi hadi unashindwa kuandika kaka.
bado bwana,hizo ni tetesi za Yericko tu
bado bwana,hizo ni tetesi za Yericko tu
Mengi anaonekana mwaminifu sana,mwanamke wake akichepuka tu anampa go ahead,safi sana huyu mzee
Rita alichepukaga ,Mengi akatema
Dah kweli huyu hajui kula na kipofu,sasa hata boom la kufanikisha starsearch hana tena maskini,Masha nae alishafulia.Eee alichepuka na masha aliekua mp
Alikuwa mzuri acha kabisa,ila atakuwa anajuta hatari,kama Wema anavyojuta kumcheat Diamond kwa BMWHafu kipindi akiwa na mzee alipendezaga sana aisee alikua ana shine balaaa.
Dah kweli huyu hajui kula na kipofu,sasa hata boom la kufanikisha starsearch hana tena maskini,Masha nae alishafulia.
Ana komwe flani hivi hujawahi kumuona akibana ki Kim kardashian au kubana kwa nyuma anakua ka ana upara flani hivi akinyoa ka madame Ritta hamkamati hata chembe bora ma weaving ndo yanamfanya aonekane vizuri.
Kafulia ukilinganisha na kipindi kile alivyokuwa mbunge na waziri mwandamizi,Masha hajafulia
Kafulia ukilinganisha na kipindi kile alivyokuwa mbunge na waziri mwandamizi,