#6 kwa ubora!Ngoja kukuche utasema nani anavunja tofari, bado hujasema
😂😂😂😂Yeye urusi kilicho mponza alijua akiivamia Ukraine atapigana vita kama aliyo pigana mwaka 45. ile vita ya kuchimba mahandaki.
Wakasahau kwamba kwamba vita ya saizi ni ya kutumia akili nyingi sana nguvu kidogo.
Kwa kifupi vita ya saizi ukijichimbia handaki inamaana umejichimbia kaburi.
😂😂😂😂
Njia rahisi ya kusema sijui Kitu bila kusema sijui kitu..
Kama ni drones, Lancet ya warusi imeprove kwenye vita hii, total kills zake sio mchezo.
Kama ni trench warfare, Waukraine +NATO wameshindwa kufanya any major advancement mpaka Sasa.
Asa sijui ni nani anayepigana vita vya mwaka 45.
Hivi nyinyi mashabiki wa urusi mnapo sema kila kitu Ukraine wanasaidiwa na Nato. Inamaana mnatakaka kutuambia waukraine wote hawana akili hadi ifike hatua ktk nchi nzima akosekane mtu ambaye anaweza kuendesha hicho kidrone ambacho unakuwa kama unacheza kama game tu hadi kikaenda kulipua nyambizi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Njia rahisi ya kusema sijui Kitu bila kusema sijui kitu..
Kama ni drones, Lancet ya warusi imeprove kwenye vita hii, total kills zake sio mchezo.
Kama ni trench warfare, Waukraine +NATO wameshindwa kufanya any major advancement mpaka Sasa.
Asa sijui ni nani anayepigana vita vya mwaka 45.
Lancet zinatoka Iran ipi we Mkenya?Hata kama una mahaba na mtume Putin ila hapa ukirudia ulichoandika inapaswa uhisi aibu kabisa, Mrusi ameteswa na kainchi kadogo, yeye alikua anatuma drones za Iran zinashushwa ila za Ukraine zinapiga hadi ikulu, zinapiga ndege, meli ya kivita na hata sub-marine.
Sasa huyo Urusi ndio mlikua mnategemea apigane na NATO wakati kainchi hapo pembeni kamemshinda.
Umeandika nini hapa?Hivi nyinyi mashabiki wa urusi mnapo sema kila kitu Ukraine wanasaidiwa na Nato. Inamaana mnatakaka kutuambia waukraine wote hawana akili hadi ifike hatua ktk nchi nzima akosekane mtu ambaye anaweza kuendesha hicho kidrone ambacho unakuwa kama unacheza kama game tu hadi kikaenda kulipua nyambizi?
Umekasirika mjeshiWewe ni mpuuzi,suala ya kupasua matofali ni moja ya mazoezi ya utimamu wa askari kwani unafikiri USA special forces Yao hawafanyi hivi? Najuwa km kawaida Yako kukashifu jw wakati wa maonyesho, bure kbs
Mazoezi haya hayana maana.Wewe ni mpuuzi,suala ya kupasua matofali ni moja ya mazoezi ya utimamu wa askari kwani unafikiri USA special forces Yao hawafanyi hivi? Najuwa km kawaida Yako kukashifu jw wakati wa maonyesho, bure kbs
Warusi wa Buza karibuni kwa povuDunia ijiandae parefu kwenye vita vya kisasa vinavyotumia drones, yaani drone ya gharama ndogo tu inaondosha submarine/nyambizi ya gharama kubwa sana, urubani wa drones unafanywa na vijana, madogo ambao wanacheza kama kwenye video games.
Waafrika tujiandae, tuache kupasua matofali kwenye maonyesho ya kijeshi, tuanze kuonyesha ubabe wa drones zikipita mbele ya mheshimiwa rais.
==============
Photos have emerged of the damage caused to the Russian submarine Rostov-on-Don, which was hit in an attack on the night of 13 September.
Source: Oryx; Conflict Intelligence Team
Bado hajasema#6 kwa ubora!
Umekasirika mjeshi
Hata kama,huyo jamaa yeye chuki zake mambo Tz pamoja na ndugu zetu waislam.hapo alikuwa anapiga kijembe