Picha zasambaa zikionesha uharibifu uliofanyika kwa submarine ya Urusi, baada ya kupigwa na drone

Picha zasambaa zikionesha uharibifu uliofanyika kwa submarine ya Urusi, baada ya kupigwa na drone

Wewe ni mpuuzi,suala ya kupasua matofali ni moja ya mazoezi ya utimamu wa askari kwani unafikiri USA special forces Yao hawafanyi hivi? Najuwa km kawaida Yako kukashifu jw wakati wa maonyesho, bure kbs
Ebu tupiamo kapicha ka askari komandoo wa Kimarekani akivunja tofali kwenye halaiki tuwashushue wanafiki! Ahahahahaha!
 
Dunia ijiandae parefu kwenye vita vya kisasa vinavyotumia drones, yaani drone ya gharama ndogo tu inaondosha submarine/nyambizi ya gharama kubwa sana, urubani wa drones unafanywa na vijana, madogo ambao wanacheza kama kwenye video games.

Waafrika tujiandae, tuache kupasua matofali kwenye maonyesho ya kijeshi, tuanze kuonyesha ubabe wa drones zikipita mbele ya mheshimiwa rais.

==============

628262c-com.opera--------2023-09-18-142743-twitter.png

Photos have emerged of the damage caused to the Russian submarine Rostov-on-Don, which was hit in an attack on the night of 13 September.

Source: Oryx; Conflict Intelligence Team
Kule kwenu munapindisha nondo kwa mkono lakini pia mnavunja tufali kwa kiganya cha mkono na kukimbia na mabegi mazito mgongoni pole pole mtafika tu
 
Wewe ni mpuuzi,suala ya kupasua matofali ni moja ya mazoezi ya utimamu wa askari kwani unafikiri USA special forces Yao hawafanyi hivi? Najuwa km kawaida Yako kukashifu jw wakati wa maonyesho, bure kbs
Rusha picha moja tu inayoonyesha askari jeshi wa Marekani,wakipasuliana matofali kifuani.
 
Back
Top Bottom