Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Ebu tupiamo kapicha ka askari komandoo wa Kimarekani akivunja tofali kwenye halaiki tuwashushue wanafiki! Ahahahahaha!Wewe ni mpuuzi,suala ya kupasua matofali ni moja ya mazoezi ya utimamu wa askari kwani unafikiri USA special forces Yao hawafanyi hivi? Najuwa km kawaida Yako kukashifu jw wakati wa maonyesho, bure kbs
Hii vita itaisha Urusi Akiondoa majeshi yake kwenye ardhi ya UkraineVita ya Russia itaisha Marekani akiamua iishe au Russia akisema arudi nyuma
Kule kwenu munapindisha nondo kwa mkono lakini pia mnavunja tufali kwa kiganya cha mkono na kukimbia na mabegi mazito mgongoni pole pole mtafika tuDunia ijiandae parefu kwenye vita vya kisasa vinavyotumia drones, yaani drone ya gharama ndogo tu inaondosha submarine/nyambizi ya gharama kubwa sana, urubani wa drones unafanywa na vijana, madogo ambao wanacheza kama kwenye video games.
Waafrika tujiandae, tuache kupasua matofali kwenye maonyesho ya kijeshi, tuanze kuonyesha ubabe wa drones zikipita mbele ya mheshimiwa rais.
==============
Photos have emerged of the damage caused to the Russian submarine Rostov-on-Don, which was hit in an attack on the night of 13 September.
Source: Oryx; Conflict Intelligence Team
Rusha picha moja tu inayoonyesha askari jeshi wa Marekani,wakipasuliana matofali kifuani.Wewe ni mpuuzi,suala ya kupasua matofali ni moja ya mazoezi ya utimamu wa askari kwani unafikiri USA special forces Yao hawafanyi hivi? Najuwa km kawaida Yako kukashifu jw wakati wa maonyesho, bure kbs
Ha ha haEbu tupiamo kapicha ka askari komandoo wa Kimarekani akivunja tofali kwenye halaiki tuwashushue wanafiki! Ahahahahaha!
Ha ha haRusha picha moja tu inayoonyesha askari jeshi wa Marekani,wakipasuliana matofali kifuani.