Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Uta zichambua mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙆🙆View attachment 2573647
Jamaa wanachanja gomba hawa.kuna siku jamaa watatu walikuwa wanaenda hotelini kula.ghafla wakapigiwa simu kmwba mirungi imeingia.wakaacha kwenda kula na ile ela ya kula wakanunua mirungi.
Baadae mmoja akasema ngoja aende kugombana na muuzaji sababu hajapata handasi.kufika pale akawa anafoka kwmba mirungi ya leo sio mikali.mwenye muuzaji akamwbia jitazame umevaa nguo ya mkeo dira ukijua kanzu.jamaa akaomdoka kwa aibu.
Mwingine alikuwa ala mirungi sasa joto lilipomzidia akavua koti.pale ukutani kulikuwa na nzi.basi yule jamaa akajua ni msumari ili atundike koti lake.yule nzi akaruka jamaa akawa anamfata yule nzi kila mahali ili atundike koti lake
HahahahaView attachment 2573647

Kumbe mwanetu tupac dungamawe walimuwekea sumu...?[emoji24][emoji24][emoji24]
Hahahahaahahahahha
Picha ya nyumba huo uezekaji ni ujinga wa kiwango cha lami.Wenzetu Ulaya na Marekani huinua paa namna hiyo ili kipindi cha winter barafu iteremke haraka chini..Na kwenye hilo paa nafasi haibaki hollow huwa vinajengwa vyumba ndio maana waweza kuona madirisha kwenye paa.
Huyo mbona ninemfollow Instagram na anashare videos kila siku?Kumbe mwanetu tupac dungamawe walimuwekea sumu...?[emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa wanajenga ka chumba kajuu ambako wanafanya kama home office.Picha ya nyumba huo uezekaji ni ujinga wa kiwango cha lami.Wenzetu Ulaya na Marekani huinua paa namna hiyo ili kipindi cha winter barafu iteremke haraka chini..Na kwenye hilo paa nafasi haibaki hollow huwa vinajengwa vyumba ndio maana waweza kuona madirisha kwenye paa.
Lakini huku Africa na unakuta mtu kainua paa namna hiyo halafu hiyo nafasi ya mwinuko wa paa inakuwa makazi ya buibui
Hahajajajajajiyo pisi apo ni kwere