Picha zifuatazo zikionesha mapungufu mazito ya sisi watu weusi.

Picha zifuatazo zikionesha mapungufu mazito ya sisi watu weusi.

Na mimi naongezea hii
Jitathimini
FB_IMG_1676058835445.jpg
 
Picha ya nyumba huo uezekaji ni ujinga wa kiwango cha lami.Wenzetu Ulaya na Marekani huinua paa namna hiyo ili kipindi cha winter barafu iteremke haraka chini..Na kwenye hilo paa nafasi haibaki hollow huwa vinajengwa vyumba ndio maana waweza kuona madirisha kwenye paa.
Lakini huku Africa na unakuta mtu kainua paa namna hiyo halafu hiyo nafasi ya mwinuko wa paa inakuwa makazi ya buibui
Wanasema nyumba iliyoezekwa namna hiyo huwa baridi ndani. Haina joto.
 
Back
Top Bottom