Picha zifuatazo zikionesha mapungufu mazito ya sisi watu weusi.

Shida kuona Wanavyo ishi wao ndio Njia kuu.
Kila mtu aishi kimpango wake.
 

Jamaa wanachanja gomba hawa.kuna siku jamaa watatu walikuwa wanaenda hotelini kula.ghafla wakapigiwa simu kmwba mirungi imeingia.wakaacha kwenda kula na ile ela ya kula wakanunua mirungi.
Baadae mmoja akasema ngoja aende kugombana na muuzaji sababu hajapata handasi.kufika pale akawa anafoka kwmba mirungi ya leo sio mikali.mwenye muuzaji akamwbia jitazame umevaa nguo ya mkeo dira ukijua kanzu.jamaa akaomdoka kwa aibu.
Mwingine alikuwa ala mirungi sasa joto lilipomzidia akavua koti.pale ukutani kulikuwa na nzi.basi yule jamaa akajua ni msumari ili atundike koti lake.yule nzi akaruka jamaa akawa anamfata yule nzi kila mahali ili atundike koti lake
 
🙆🙆
 
Hahahaha
 
Picha ya nyumba huo uezekaji ni ujinga wa kiwango cha lami.Wenzetu Ulaya na Marekani huinua paa namna hiyo ili kipindi cha winter barafu iteremke haraka chini..Na kwenye hilo paa nafasi haibaki hollow huwa vinajengwa vyumba ndio maana waweza kuona madirisha kwenye paa.
Lakini huku Africa na unakuta mtu kainua paa namna hiyo halafu hiyo nafasi ya mwinuko wa paa inakuwa makazi ya buibui
 
Kabisa wanajenga ka chumba kajuu ambako wanafanya kama home office.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…