Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 4,407
- 16,942
This explains my frequent nightmares😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This explains my frequent nightmares😀
Vyetu vilikuwa vingi kinatuangusha waafrika hatuweki kumbukumbu.Mbona kila kitu wazungu hahah dah
Nahisi wanawake wengi wa kibongo ni wahanga wa huu ugonjwa.
Hii ni Kweli ila sababu pia hizi Gari ni Luxury huwezikuwa unatembelea kila siku mengi ni show-off lazima lidumu
nyege zao zipo kinywani😛😛😛😛😛😛. Ingekuwa hivyo kwa binadamu pia kuna baadhi ya watu wangekuwa kwenye mating season maisha yao yote kwa mujibu wa midomo yao.
kwanini mkuu?Ukijamiiana na mwenza wako wa ndoa ni kufanya mapenzi, ukijamiiana na mchepuko ni zinaa/uzinzi.
Kumbe tupo wengi!!!