Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #261
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe ya misri ni maarufu tu sio kwamba ndio makubwa duniani
kumbe ya misri ni maarufu tu sio kwamba ndio makubwa duniani
Naomba ufafanuzi hapa wazee, kwanini?
Niliomba uongozi wa shule tujenge mnara wa kumbukumbu na yawekwe majina ya wanafunzi na walimu waanzilishi wa shule nikajibiwa "ili iweje na wapi umeona hicho kitu"Sisi hatuna utamaduni wa kutunza kumbukumbu zetu. Watu wengi hawajui hata historia zao wenyewe