Picha zilizovuja za "Mateka" 6 wa Kiisraeli ambao miili yao ilipatikana katika Ukanda wa Gaza

Picha zilizovuja za "Mateka" 6 wa Kiisraeli ambao miili yao ilipatikana katika Ukanda wa Gaza

Wewe endelea kucheka Israel kunawaka moto.

⚡️Just to clarify a few things:

The ‘hostages’ found in Rafah by the ‘IDF’ are:

Hersh Goldberg, 23
Eden Yerushalmi, 24
Carmel Gat, 39
Almog Sarusi, 26
Alex Lubnov, 32
Ori Danino, 25

The claim that the prisoners were killed in the past 48 hours is misleading and comes from Israeli sources. In reality, they were killed a week ago during a failed rescue operation that occurred around the time of prisoner Farhat's return.

When it comes to Hersh Goldberg, He blamed Netanyahu in a video back in April and said that the israeli forces killed 70 ‘hostages’
tumlaumu aliua bahati mbaya au aliyeteka makusudi kwa miez 10 sasa
 
Hiyo ngoma hata Yair Lapid haiwezi , madai ya hamas ni Israel( kafiri) aondoke middle East na kurudi Ulaya na Amerika ili wabaki na nchi yao au Two states solution ambapo Jerusalem city , bethelehem city, Jericho city, miji yote iende Palestinians, Golan irudi Syria, Israel atabaki na Tel Aviv na Taifa na vimiji vidogo sana ,hata mwanasiasa yoyote wa Israel wa kuleta amani.
 
Comments za twitter zinaonesha Hamas ndio wamewaua au wamepewa airtime kwa kushikiwa mtutu.. sasa kwa hatua ya iblis ya Hamas kuteka na kutesa mateka wasio na hatia kwa kitumia Quran.. Ushauri kwa Netanyahu azuie misaada hadi wapumbavu watetezi wa magaidi waanze kuongea na magaidi wenzao Hamas na Islam jihad
Duh chuki mpk unakua mjinga .huyo mungu wako anahubiri haki kweli
 
Wananchi wa Israel wanaona serikali yao inazingua
Ila waisrael wa bongo wako na netanyau ndio ujue weusi tuna chuki za kipumbavu
 
There is a lot of propaganda emanating from various masques trying to show that the Israeli hostages were killed by their fellow Israelis in a failed military operation to rescue them from Hamas terrorists.

In fact the hostages were brutally slain by their Hamas captors in a move that was aimed at alienating the Israeli government from its people.
 
Magaidi wanatumia fitna kuchonganisha Serikali na wananchi wake ili vita isitishwe Gaza lakini sidhani kama Netanyahu atakubali kuingia huu mtego na kusimamisha vita dhidi ya ugaidi.
 
There is a lot of propaganda emanating from various masques trying to show that the Israeli hostages were killed by their fellow Israelis in a failed military operation to rescue them from Hamas terrorists.

In fact the hostages were brutally slain by their Hamas captors in a move that was aimed at alienating the Israeli government from its people.
Muisrael mweusi wa Marangu anapamba na Waisrael wa Tel Aviv ajabu 😀.

View: https://x.com/suppressednws/status/1830352253485478138?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Comments za twitter zinaonesha Hamas ndio wamewaua au wamepewa airtime kwa kushikiwa mtutu.. sasa kwa hatua ya iblis ya Hamas kuteka na kutesa mateka wasio na hatia kwa kitumia Quran.. Ushauri kwa Netanyahu azuie misaada hadi wapumbavu watetezi wa magaidi waanze kuongea na magaidi wenzao Hamas na Islam jihad
Baadhi ya mateka ni maaskari wa IDF.
Kwa nini wasibehave kama makamanda?- yaani wakubali kufa badala ya kutoa statement kama kweli HAMAS imewalazimisha waseme jambo!
 
Back
Top Bottom