Picha zilizovuja za "Mateka" 6 wa Kiisraeli ambao miili yao ilipatikana katika Ukanda wa Gaza

tumlaumu aliua bahati mbaya au aliyeteka makusudi kwa miez 10 sasa
 
Hiyo ngoma hata Yair Lapid haiwezi , madai ya hamas ni Israel( kafiri) aondoke middle East na kurudi Ulaya na Amerika ili wabaki na nchi yao au Two states solution ambapo Jerusalem city , bethelehem city, Jericho city, miji yote iende Palestinians, Golan irudi Syria, Israel atabaki na Tel Aviv na Taifa na vimiji vidogo sana ,hata mwanasiasa yoyote wa Israel wa kuleta amani.
 
Duh chuki mpk unakua mjinga .huyo mungu wako anahubiri haki kweli
 
Wananchi wa Israel wanaona serikali yao inazingua
Ila waisrael wa bongo wako na netanyau ndio ujue weusi tuna chuki za kipumbavu
 
There is a lot of propaganda emanating from various masques trying to show that the Israeli hostages were killed by their fellow Israelis in a failed military operation to rescue them from Hamas terrorists.

In fact the hostages were brutally slain by their Hamas captors in a move that was aimed at alienating the Israeli government from its people.
 
Magaidi wanatumia fitna kuchonganisha Serikali na wananchi wake ili vita isitishwe Gaza lakini sidhani kama Netanyahu atakubali kuingia huu mtego na kusimamisha vita dhidi ya ugaidi.
 
Muisrael mweusi wa Marangu anapamba na Waisrael wa Tel Aviv ajabu 😀.


View: https://x.com/suppressednws/status/1830352253485478138?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Baadhi ya mateka ni maaskari wa IDF.
Kwa nini wasibehave kama makamanda?- yaani wakubali kufa badala ya kutoa statement kama kweli HAMAS imewalazimisha waseme jambo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…