Picha zilizovuja za "Mateka" 6 wa Kiisraeli ambao miili yao ilipatikana katika Ukanda wa Gaza

Baadhi ya mateka ni maaskari wa IDF.
Kwa nini wasibehave kama makamanda?- yaani wakubali kufa badala ya kutoa statement kama kweli HAMAS imewalazimisha waseme jambo!
Mfumo wa Israel ni kama wa lwetu na ndio walituanzishia huo mfumo tofauti na ule mtu anamua kuomba kazi ya jeshi ili alitumikie.. JKT ni lazima na Israel IDF ni lazima so unajifunza kwa two years then unaendelea na uraia ukikosa kazi unaomba.. so unakuta raia wote wa Israel wamepitia jeshi kasoro wale Orthodox Jews walipewa exception tokea miaka ya 60 wao ni dini tu . Ila now kibao kimechange. Na kuna ambao hawapiti jeshi kwa sababu mbali mbali so mateka sio wote wameputia jeshi. Kuna foreigners wametekwa bila sababu wakiwepo watanzania

So huo kula kichapo ili kutoa siri kuna wanaoweza vumilia ma wasioweza duniani kote.
 

View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1832068101111783749?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 

View: https://x.com/drrpalestine/status/1831995032267641087?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Yaani utoto na ujinga hakuna muislam anaeza mfanyia mwanamke hivi ...mwanamke kwenye uislam kapewa daraja kubwa na heshima kubwa .
Tupe hizo aya tusome maana wewe ndio wa kwanza kusema hivyo eti mwanamke kapewa daraja kubwa la Heshima.. nasubiri hizo aya maana tupo Afghastan hapa wanasubiri kwa hamu
 
Tupe hizo aya tusome maana wewe ndio wa kwanza kusema hivyo eti mwanamke kapewa daraja kubwa la Heshima.. nasubiri hizo aya maana tupo Afghastan hapa wanasubiri kwa hamu
Hata nikikupa utazikashifu .kwa hio jua ujuavyo .
 

View: https://youtu.be/9gEPHbvcjz0?si=u3SVxSI3vrpZrCgt
 

View: https://x.com/suppressednws/status/1832843615804264940?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hata nikikupa utazikashifu .kwa hio jua ujuavyo .
Hahaha unaogopa Aya za Quran hahaha fake muslim..

Hakuna aya inayompendelea Mwanamke.. even Allah alikuja kataa Mabinti zake wasiabudiwe..baada ya kuona Shetani kaingiza Aya kwenye Quran, baada ya makubaliano kati ya Mudy na Waarabu kabila la Quraish na koo zake kabila la Mtume wenu kuukubali uislam ila tamaduni zao ziendelee kuabudu mabinti wa Allah pia not Allah alone,and kufanya hija za kipagani,Ibada za Marwa and Safa, Mtume wenu alisujudu pamoja na Maquraish kwa masanamu ya mabinti wa Allah Al-Uzza,Manat na AL-Lat alipowasomea Wapagani wachawi Maquraish Quran wakafurahia na kuwaambia intercession is must na walimfurahia kwa kuheshimu miungu ya wapagani katika Aya za Shetan kwenye Quran Baada ya hiyo Mistake ya Shetan Allah akasema ataziondosha Aya zote za Shetan lakin hadi anadedi Quran ipo vile vile kwahiyo lazima muendelee kuyaabudu masanamu hahaha.

Satan cast on his tongue, because of his inner debates and what he desired to bring to his people, the words:

These are the high-flying cranes; verily their intercession is accepted with approval.




Shetani aliutupa ulimi wake kwa sababu ya mijadala yake ya ndani na yale aliyotaka kuwaletea watu wake maneno haya:

Hawa ndio korongo warukao juu; Hakika uombezi wao umekubaliwa.

Makureshi waliposikia hivyo walifurahi na kufurahi na kufurahishwa na namna alivyozungumza juu ya miungu yao, na wakamsikiliza, na Waislamu wakiwa na imani kamili na Mtume wao juu ya ujumbe alioleta kutoka kwa Mwenyezi Mungu. , hakumshuku kwa kosa, udanganyifu, au kosa. Alipofika kwenye sijda, baada ya kuimaliza surah, alisujudu na Waislamu wakafanya vivyo hivyo wakimfuata Mtume wao, wakiutumainia ujumbe aliouleta na kufuata mfano wake….Maquraishi waliondoka wakifurahishwa na kutajwa kwa miungu yao ambayo walikuwa wamesikia, wakisema, 'Muhammad ameitaja miungu yetu kwa njia nzuri kabisa, akieleza katika kisomo chake kwamba wao ni korongo warukao na kwamba uombezi wao umepokelewa kwa idhini.'

Tafsiri ya Aya za Shetani kwenye Quran... na kosa kubwa kuabudiwa wanawake ila wangekuwa ni wanaume ni poa.


Kisha Jibril akaja kwa Mjumbe wa Mwenyezi Mungu na kumwambia, ‘Muhammad, umefanya nini? Umewasomea watu ambayo sikukuletea kutoka kwa Mwenyezi Mungu, na umesema yale ambayo hukusemwa kwani alimhurumia, akimliwaza na kumfanyia jambo dogo, na kumfahamisha kwamba hakujawa na Nabii wala mtume kabla yake ambaye alitaka apendavyo na apendavyo, bali Shetani ametupa maneno ndani yake. kisomo chake, kama vile alivyoweka maneno kwenye ulimi wa Muhammad. Kisha Mwenyezi Mungu akafuta yale aliyoyatupa Shet'ani, na akazithibitisha Aya zake kwa kumwambia kuwa yeye ni kama manabii na Mitume wengine, na akateremsha:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…