Picha zinajieleza CHADEMA Vs CCM

Picha zinajieleza CHADEMA Vs CCM

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
CCM vs CHADEMA.
Picha ipi hasa imeelekea kuongoza nchi kwa amani. Utulivu?

CCM wamekalia hasa kiongozi uongozi, picha inajieleza, pia hekima na busara uongozi wa CCM
CHADEMA ya Lissu imeelekea uharakati harakati zaidi na kukosoa kosoa.
Katika suala la kujenga amani nchi yetu CHADEMA ya Lissu bado.
Picha ya CHADEMA inaonesha kwamba kama wamekasirikiana hivi, hawana amani ktk nafsi zao tofauti na CCM

images (11).jpeg
CHADEMA.jpg
 
Ccm vs chadema.
Picha ipi hasa imeelekea kuongoza nchi kwa amani. Utulivu?
Ccm wamekalia hasa kiongozi uongozi, picha inajieleza, pia hekima na busara uongozi wa ccm
Chadema ya lissu imeelekea uharakati harakati zaidi na kukosoa kosoa.
Katika swala la kujenga amani nchi yetu chadema ya Lissu bado.
Picha ya chadema inaonesha kwamba kama wamekasirikiana hivi, hawana amani ktk nafsi zao tofauti na ccm
Unajipa kazi ngumu sana ambayo haina tija yoyote, sana sana inakuvua nguo tu na kukuanika kuwa wewe ni kichaa ambaye unazunguka kutwa nzima na zigo la takataka kichwani.
 
Unajipa kazi ngumu sana ambayo haina tija yoyote, sana sana inakuvua nguo tu na kukuanika kuwa wewe ni kichaa ambaye unazunguka kutwa nzima na zigo la takataka kichwani.
Tunapeana kazi ngumu, nikiandika una comments, halafu nimegundua unanifatilia na kuzipenda sana thread zangu, huachi kukoment
 
Siasa! Boni yai na Sugu kama wanajaribu kujichekesha
 
Methali ya "Zimwi likujualo....." itaendelea kutuponza!
 
Back
Top Bottom