Picha zinajieleza CHADEMA Vs CCM

Picha zinajieleza CHADEMA Vs CCM

Ukimtoa Amani Golugwa na Mnyika hao wajumbe wengine wanakuwa ni genge la wahuni.
 
CCM vs CHADEMA.
Picha ipi hasa imeelekea kuongoza nchi kwa amani. Utulivu?

CCM wamekalia hasa kiongozi uongozi, picha inajieleza, pia hekima na busara uongozi wa CCM
CHADEMA ya Lissu imeelekea uharakati harakati zaidi na kukosoa kosoa.
Katika suala la kujenga amani nchi yetu CHADEMA ya Lissu bado.
Picha ya CHADEMA inaonesha kwamba kama wamekasirikiana hivi, hawana amani ktk nafsi zao tofauti na CCM

View attachment 3225683View attachment 3225735
downloadfile-6.jpg
 
Chadema wanajua kabisa hawawezi kuongoza nchi. Shabaha yao ni kupigania ubunge na ruzuku tu.
 
Back
Top Bottom