Unajipa kazi ngumu sana ambayo haina tija yoyote, sana sana inakuvua nguo tu na kukuanika kuwa wewe ni kichaa ambaye unazunguka kutwa nzima na zigo la takataka kichwani.Ccm vs chadema.
Picha ipi hasa imeelekea kuongoza nchi kwa amani. Utulivu?
Ccm wamekalia hasa kiongozi uongozi, picha inajieleza, pia hekima na busara uongozi wa ccm
Chadema ya lissu imeelekea uharakati harakati zaidi na kukosoa kosoa.
Katika swala la kujenga amani nchi yetu chadema ya Lissu bado.
Picha ya chadema inaonesha kwamba kama wamekasirikiana hivi, hawana amani ktk nafsi zao tofauti na ccm
Wangejaribu ku switch position tuone itakuwajeChadema imekaa kinjaa njaa sana
Kuvaa vigwanda vinajiona kama HAMAS vile, kumbe wakiambiwa na Rais kesho kulala saa 12 jioni wao saa 10 jioni washalala kwa wogaChadema imekaa kinjaa njaa sana
Tunapeana kazi ngumu, nikiandika una comments, halafu nimegundua unanifatilia na kuzipenda sana thread zangu, huachi kukomentUnajipa kazi ngumu sana ambayo haina tija yoyote, sana sana inakuvua nguo tu na kukuanika kuwa wewe ni kichaa ambaye unazunguka kutwa nzima na zigo la takataka kichwani.
Kalala zake hajui kinacho ongelewaChama kinachoongozwa na kiumbe kama hiki hicho ni chama cha vilaza yaani wanachama wooote hao huyu ndiye ameonekana ana nafuu.
Jamaa kamchukia wasira kama alivyomchukia MboweKalala zake hajui kinacho ongelewa
Duniani hayupo na ahera hayupo.Kalala zake hajui kinacho ongelewa
Hamas Kwa sasa ni Watumwa wa Trump dadeki ππKuvaa vigwanda vinajiona kama HAMAS vile, kumbe wakiambiwa na Rais kesho kulala saa 12 jioni wao saa 10 jioni washalala kwa woga
we mdada huna muda hata wakufua chupi zako zenye kutu maana muda mwingi unawaza kuandika upumbavu humu.Kuvaa vigwanda vinajiona kama HAMAS vile, kumbe wakiambiwa na Rais kesho kulala saa 12 jioni wao saa 10 jioni washalala kwa woga
Sonona itakuua.Kuvaa vigwanda vinajiona kama HAMAS vile, kumbe wakiambiwa na Rais kesho kulala saa 12 jioni wao saa 10 jioni washalala kwa woga
Yaani akitoka kungonoka huko anakimbilia humu na janaba lake.we mdada una muda hata wakufua chupi zako zenye kutu maana muda mwingi unawaza kuandika upumbavu humu.
Mkiristo anajua janaba?Yaani akitoka kungonoka huko anakimbilia humu na janaba lake.
Haha. Yaani wamelamba asali kwa Rais wa TLS?Hamas Kwa sasa ni Watumwa wa Trump dadeki ππ
Ameshawanunua ππ
Utawaweza Mbowe na Mwabukusi Kwa Pamoja?πΌHaha. Yaani wamelamba asali kwa Rais wa TLS?
Rais wa Tls kaipeleka TLS lumumbaUtawaweza Mbowe na Mwabukusi Kwa Pamoja?πΌ