Ze last Born
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 1,770
- 3,867
Tufaa[emoji3582]Hiyo namba nne siyo "Maepo" (Kiingereza "Apple)" kiswahili chake ni "Tufaa"
Tufaha[emoji3581]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tufaa[emoji3582]Hiyo namba nne siyo "Maepo" (Kiingereza "Apple)" kiswahili chake ni "Tufaa"
Asante sana kukosoa ndugu. Ila si unajua tena Watanzania hilo neno tufaa hawajalizoea sana. Wamezoea kuita epo.Hiyo namba nne siyo "Maepo" (Kiingereza "Apple)" kiswahili chake ni "Tufaa"
Karibu sanaAhsante Sana
Asante sana ndugu. Ila hamjapishana sana na ndugu wa kwanza.Tufaa![]()
Tufaha![]()
Ahsante kushukuru!!Asante sana kukosoa ndugu. Ila si unajua tena Watanzania hilo neno tufaa hawajalizoea sana. Wamezoea kuita epo.
Ni ngumu sana kuwa badilisha watu kutoka kwenye neno walilolizoea kama maneno yafuatayo.Ahsante kushukuru!!
Ni kweli watanzania wengi wamezoea kuita "Apple" badala ya "Tufaha" lakini sisi kama wadau na wazalendo wa nchi yetu inabidi tuwakumbushe na tuwazoeshe kutamka "TUFAHA" ili wajue kuwa tunda hilo hata apa kwetu lilikuwepo, lipo na litaendelea kuwepo, kinachotugharimu ni uvivu na kukosa ubunifu wa kutangaza vya kwetu.
Chief, Ni kweli kuwa ni ngumu, lakini siyo ngumu sana, jambo hili linahitaji utashi na ushirikiano (kujitoa kwa nia thabiti). Na Serikali yetu ikitilia mkazo mambo yatakuwa mazuri kwa maana Bwana asilipoilinda nyumba yake, wailindao wakesha bure. Hivyo ni kuamua tu.Ni ngumu sana kuwa badilisha watu kutoka kwenye neno walilolizoea kama maneno yafuatayo.
-friji
-kompyuta
-mausi
-eitiem
-tv
-gemu badala ya 'mchezo'
-bando badala ya 'kifurushi'
-chati badala ya 'piga gumzo'
-mechi
Kinachofanya kazi iwe ngumu ni ukweli wa kwamba naneno hayo HAYAJULIKANI, hujulikana kwa wachache sana hasa ambao wamesoma kiswahili darasani kama wewe, wengi huyajua tu maneno yaliyotoholewa lakini maneno halisi ya kiswahili ni ngumu kuyajua. Ni hii ni kutokana na ukweli wa kwamba ni ngumu kuchochea matumizi yake katika jamii. Huwezi ukaanza tu kumwambia mtu usiseme TV sema runinga.Chief, Ni kweli kuwa ni ngumu, lakini siyo ngumu sana, jambo hili linahitaji utashi na ushirikiano (kujitoa kwa nia thabiti). Na Serikali yetu ikitilia mkazo mambo yatakuwa mazuri kwa maana Bwana asilipoilinda nyumba yake, wailindao wakesha bure. Hivyo ni kuamua tu.
Fridge - Jokofu
Television - Runinga
Gemu - Michezo inayotumia akili zaidi na nguvu kidogo mfano, Karata,Drafti, Bao nk.
Sport - Michezo inayotumia nguvu nyingi na akili kidogo mfano, Mpira wa miguu, ngumi, radha nk.
Air Condition (AC) - Kiyoyozi
Maneno mengine huwa tunayatohoa baada ya kukosa neno la kufanana au kumaanisha katika lugha yetu adhimu ya kiswahili mfano ni
Pikipiki - Iliitwa hiyo tokana na mlio wake.
Maneno hayo yote niliyokuandikia yanatumika lakini kwa wachache, mtihani tulionao ni utandawazi lakini nawashukuru Baraza la kiswahili kwa kutochoka wala kukata tamaa.
Upo sahihi 'Tufaa' na 'Tufaha' maana yake ni moja au 'Tofaa' na 'Tofaha'Asante sana kukosoa ndugu. Ila si unajua tena Watanzania hilo neno tufaa hawajalizoea sana. Wamezoea kuita epo.