picha ni George Stinney kijana mwenye umri mdogo Marekani aliye hukumiwa kifo na kuwawa kwa umeme mkali mwaka1944, kwa tuhuma za kuhusishwa na mauwaji ya wasichana wawili wa kimarekani.
miaka 70 mbeleni ilikuja kuonekana alihukumiwa bila hatia!
ni kisa moja wapi Kinachosikitisha na kuumiza sana dhamiri, ni makosa ya kibinadamu na ule uasili wa ubinafsi wa mwanadamu umesababisha maumivu ya milele kwa wengine.