Picha zinazohuzunisha zaidi (sad pictures )

Picha zinazohuzunisha zaidi (sad pictures )

4bdfdb954402e8244b015682a097f209.jpg
 
picha ni George Stinney kijana mwenye umri mdogo Marekani aliye hukumiwa kifo na kuwawa kwa umeme mkali mwaka1944, kwa tuhuma za kuhusishwa na mauwaji ya wasichana wawili wa kimarekani.

miaka 70 mbeleni ilikuja kuonekana alihukumiwa bila hatia!

ni kisa moja wapi Kinachosikitisha na kuumiza sana dhamiri, ni makosa ya kibinadamu na ule uasili wa ubinafsi wa mwanadamu umesababisha maumivu ya milele kwa wengine.

aendelee kukaa mahali pa amani na palipo na raha hadi milele.View attachment 2897358
7d0264164b2c7f143b53d44373ad37b3.jpg

View attachment 2897362
View attachment 2897363
 
Back
Top Bottom