Imenifikirisha kidogo, upande mwingine inaweza kuleta taswira mbaya lakini upande mwingine taswira nzuri, isijalishe mazingira,ama una nini chenye thamani au kisicho na thamani mpe yeyote mwenye uhitaji walao kumpunguzia uhitajia wake.
Hii yenyewe
Brother unaweza kujua kama amefanikiwa kupitia mziki ama la ?mtoto akicheza fidla katika mazishi ya mwalimu wake, mwalimu huyo alimsaidia kuepuka umaskini kupitia muzikiView attachment 2900270
Sent using Jamii Forums mobile app