Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
- Thread starter
- #401
Imenifikirisha kidogo, upande mwingine inaweza kuleta taswira mbaya lakini upande mwingine taswira nzuri, isijalishe mazingira,ama una nini chenye thamani au kisicho na thamani mpe yeyote mwenye uhitaji walao kumpunguzia uhitajia wake.