Picha zinazohuzunisha zaidi (sad pictures )

Alipokuwa mjamzito hata kama njia za kutoa mimba zingekuwa rahisi kwa asinge toa!
Jinsi gani wakina mama walivyo na huruma na upendo wa walio dhaifu na wenye kuhitaji msaada hata kama huyo mama yupo kwenye hali ngumu kiasi gani!
Asnteni sana wakina dada na mama kwa upendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…