Picha zinazohuzunisha zaidi (sad pictures )

Picha zinazohuzunisha zaidi (sad pictures )

909265fc754f1239773d5f3ec2dc1e13.jpg
 
Binafsi nimejiuliza pia hivyo pia, lakini nikawa najiuliza sisi wanaume hivi inakuwa vipi unapata nguvu za kumpa mimba mwanamke katika hali ya namna hiyo!
Wanawake kidogo wanaweza kupata udhuru mfano kubakwa au kushikwa kwa nguvu.
Wengi wao wanabakwa mkuu na hasa zikitokea vita, fuatilia mkasa wa sudani utaskia wanawake wengi wanalalamika kubakwa,vita sio ya kuitaman kabisa allah adumishe aman ya nchi yetu
 
Unaweza kubaki peke yako katiki hali unayo pita na giza likawa kubwa sana ila kuna namna nuru itakujia.
38e5537a14540aa6c781492647a66b0f.jpg
 
Unaweza kuwa unatembea kwenye giza nene lakini kadri usiku unavyo kuwa mkubwa ndivyo asubuhi inavyo karibia
f88c1cbe10c0fe742da013afcbf64917.jpg
 
Usiogope kuikabili njia unayopita kisa ugumu wa changamoto iliyopo mbele yako , haina mwendo mrefu utaivuka
 
Back
Top Bottom