Wengi wao wanabakwa mkuu na hasa zikitokea vita, fuatilia mkasa wa sudani utaskia wanawake wengi wanalalamika kubakwa,vita sio ya kuitaman kabisa allah adumishe aman ya nchi yetuBinafsi nimejiuliza pia hivyo pia, lakini nikawa najiuliza sisi wanaume hivi inakuwa vipi unapata nguvu za kumpa mimba mwanamke katika hali ya namna hiyo!
Wanawake kidogo wanaweza kupata udhuru mfano kubakwa au kushikwa kwa nguvu.