Picha zinazohuzunisha zaidi (sad pictures )

Huwa najiuliza katika shida kama hizo ikiwemo njaa na dhiki lakini kinamama na kinababa wanazaa tu...hawasubiri hata hali iwe shwari
 
Huwa najiuliza katika shida kama hizo ikiwemo njaa na dhiki lakini kinamama na kinababa wanazaa tu...hawasubiri hata hali iwe shwari
Binafsi nimejiuliza pia hivyo pia, lakini nikawa najiuliza sisi wanaume hivi inakuwa vipi unapata nguvu za kumpa mimba mwanamke katika hali ya namna hiyo!
Wanawake kidogo wanaweza kupata udhuru mfano kubakwa au kushikwa kwa nguvu.
 
😥 Daaah
 
Akili sana
 
Pamoja na negative nyingi zinazo waelekea wanawake lakini mimi binafsi nitakua mtu wa mwisho kumtukana mwanamke, hakuna upendo inauvuka upendo wa mama na mwana.
 
Acheni kueneza propaganda za watu weupe bila ya kujijua. Ina maana duniani picha za watu wenye shida ni za watu weusi tu!!!

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…