Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Sura bandika zenye ready made makeup.. Hakuna haja ya kujipodoa tena. Tumeshakuwa na kila kitu cha bandia mpaka akili ya bandia sasa ipo. Inaitwa akili mnemba.
Maisha ya social networks yamejaa uhalisia bandia. Unachokiona mtandao ni sivyo kilivyo katika uhalisia wake
Saa nyingine kinachooneshwa sivyo kilivyo katika uhalisia wake
Nguvu ya amri na dhana ya survival of the fittest. Wenye nguvu ndio watatawala😭
Manmade problem. Hatuna wa kumlaumu
Uhalisia wa mahusiano ya kileo.. 😭 moyo wa mtu ni kiza kinene
Kila mtu leo ni CCTV
Ukitoa msaada acha camera nyumbani
Ibilisi wa muda. Social media
Tumezika kabisa vipawa vya kusoma vitabu
Hata wewe uko hapa😀